Uhifadhi
Tanzania ni Nchi iliyobarikiwa kwa kuwa na Mali Asili nyingi ikiwa ni pamoja na wanyama wa aina mbali mbali, Madini, Misitu,,.... Na mengine mengi
Hivyo sisi kama raia wa Tanzania kwa kushirikiana na wizara na idara husika tushirikiane kuzitunza na kuziendeleza ili kizazi cha sasa na kijacho kinufaike.
Ndugu zangu uhifadhi ni kwa maendeleo yetu
No comments:
Post a Comment