
Hii serikali yetu haituthamini kabisa kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna vipindi maaskari wahifadhi wa wanyamapori waliuawa na wananchi na wengine kuuliwa maporini wakiwa doria lakini serikali haikutambua mchango na thamani ya maaskari hao lakini Leo kwa sababu kauawa Mzungu mpaka Ikulu imetoa taarifa kwenye vyombo vya Habari hili ni janga na kwangu Mimi naona kama hatuna thamani kwenye hii serikali ningeiomba serikali iliangalie kwa jicho la tofauti inauma na inakera Sana bhana
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
No comments:
Post a Comment